Ailinda Sawe ni mmoja wa wabunifu mashuhuri sana pale bongo na anajitahidi sana katika fani hiyo ya ubunifu,yeye pamoja na mumewe ni wamiliki wa kampuni inajulikana kama Afrika Sana
iliyopo pale Dar Es Salaam.Kama uonavyo pichani chini ni moja mavazi ambayo ameyafanyia ubunifu yeye na kwasasa yuko kwenye kazi ya ubunifu wa vazi letu la taifa kama kitambulisho cha utanzania wetu..........kwahiyo kama kuna wabongo wenye vipaji vya ubunifu wasione uvivu nao wajilipua na ubunifu wao wa aina mbali kama Ailinda....mnaonaje mitindo yake lakini?
Mitindo Yake ..............
No comments:
Post a Comment