Chui...Chui....!
Nadhani watu wengi mnakumbuka style ya nguo za chui chui ?nadhani ni moja kati ya style au design ya nguo ambazo ziko kwenye fashion kwa muda mrefu sna,napenda kumpa shavu mrembo nalyaa hapo pichani kwa kutoka fresh kinoma kuanzia mavazi,style ya nywele n.k...
2 comments:
NASIKIA MEKI YUKO YUNI VESITY HAPO DEMONTFORT
MBONA KAZII HUKO LESTA?
http://videozamatusi.blogspot.com/
MARA MAPICHA MARA MA VIDEO
haya
http://dashboard.wordpress.com/wp-admin/
Post a Comment