Saturday, 17 March 2007

Pingu........!
Jamani nilivyokuwa nawaambia kwamba mitindo ya mavazi ya harusi imebadilika kwa kiwango kikubwa nadhani kwasasa mtakubaliana nami kwa jinsi muonavyo hapo pichani,maharusi wanavaa nguo simple na hazina nakshi nyingi ndio hivyo hivyo kwa upande wa bwana harusi wanavaa suti simple bila kashikashi nyingi na hivyo upande wa bi.harusi pia gauni kali na simple bila nakshi za kumwaga!

No comments: