Combat..!
Ile aina ya uvaaji wa makaptula yenye rangi za kijeshi jeshi ni style na pia imekuja kuwa fashion ya aina yake hasahasa kwa sisi vijana wa kisasa .....aina kama ya pensi hilo la kijeshi hupendeza ikivaliwa na simple snickerz....za aina yoyote ila nyeusi ama nyeupe ni rangi poa sana na huku ukishindilia na t-shirt kalia za rangi moja moja na michapisho ya picha kubwa kubwa ama za watu mashuhuri dunia....nadhani ukifanya hivyo mlipoka utakuwa umekamilika kamili kbs kbs!mpo!
1 comment:
Bongo kamanda Mwema amepiga marufuku watu kuvaa mavazi haya,fashion ilishika chati vizuri na kila mtu alijitahidi kutinga kijeshi jeshi sasa hivi watu wanavalia club tena usiku
Post a Comment