Sunday, 25 March 2007

Style Zinatisha!

Kwa mabinti wapendao kujilipua pamba nyepesi nadhani hapo sina haja ya kuwaelezea sana ila naomba maoni kutoka kwenu na nyie mmepangilia vipi huo mkandamizo wa hapo pichani ni style gani ya mavazi?aina ya rangi ya mavazi?nk......naombeni mnipe mlipuko wenu pia warembo?

No comments: