Sunday, 25 March 2007

Happiness Chipukizi aliyekomaa katika fani!!


Ukizungumzia wabunifu ndani ya Bongo utakuwa umefanya kosa la jinai kama usipolitaja jina la Happiness Chilima mwana dada aliyezaliwa mwaka 1985, jijini Dar es Salaam Wengi humtambulisha kama mbunifu chipukizi kitu ambacho mimi napingana nao kwani katika fani hii yeye ameshakomaa ni kutokana na kuanza fani hii kwa muda mrefu, kiasi kwamba naona wanampunja wanapomuita chipukizi.

1 comment:

Anonymous said...

Happy, hiyo ni kweli kwani amewahi hata kuiiwakilisha vyema bongo huko Kenya.. Lakini wapo wengine ila hawajavuma sana tuu lakini wamo kama Kevin mosha na "usibonyeze" ya SHOBOKA, Zamda George sijui what shiz up to i guess ni hiyo anaetoa comments with "Zam'G" sign at the end sijui ndio name of her clothline au a.k.a tu.
yote... nimependa blog yako