Wednesday, 21 March 2007

India Fashion Week 07!


Hayo ndio mambo yaliyojiri hivi majuzi udosini kwenye wiki ya maonyesho ya mavazi mbalimbali kutoka kwa wabunifu mbalimbali udosini ijulikanayo kama LAKME' FASHION WEEK 07 yanayoanyika kila mwaka katika mji wa Bombay au Mumbai! Si utani wahindi wanajitahidi sana kwenye maswala ya ubunifu wako mbele kinoma.....unaonaje ubunifu mlipuko hapo juu?

2 comments:

Anonymous said...

Good design

Anonymous said...

...ur blog iko unique sana kama ya michuzi ilivyo ya picha yako ni fashion...keep it up the good job tutakusaidia kuitangaza