Monday, 19 March 2007

Kuperuzi 2....!
Pichani ni mwanandinga maarufu dunia David Beckham,kusema ukweli huyo jamaa anajua sna kujilipua na aina mbalimbali za mavazi,kama hapo pichani kavaa pensi alimaarufu kama down pocket or combat pensi na kijit-shirt simple na kandamili 2 , na oversize shades,uvaaji huo ni poa kama umejilipua kwa mapumziko au matembezi ya kawaida 2 mtaani!

No comments: