Monday, 19 March 2007

Bwanga .....!
Style ya kuvaa mabwanga au bugaluuu ierudi tna kwenye chati kama hapo pichani Miss Tanzania Wema Sepetu akiwa kajilipua fresh kbs!Kusema ukweli ametoka nyoko bovu!

1 comment:

Anonymous said...

bwanga inapendeza hasa uukiwa nahipzzz na Toko kwa mbalii......