Thursday, 29 March 2007

Mnasemaje Mlipuko Huo?

Kusema ukweli wakina dada wakibongo popote walipo wako hivi kwa jinsi wanavyojua kukamata pamba kali na kulipuka nazo kama uonavyo hapo pichani,mmh nadhani milipuko yao imekubalika?au mnasemaje ?

No comments: