Naomba Maoni Hapo....Mhh Hii Noma...Mnaonaje Mlipuko Huo?
Kama kawaida yake mzee mzima Jay-Z analipuka sana pamba kali sana na ni mmoja ya marap mwenye mafanikio sana kati nyanja nyingi lakini pia tusijaribu kusahaua kwamba anashare kwenye kampuni ya ROCAWEAR...kama hapo pichani yuko Beyonce ambaye nae pia ni mlipukaji mzuri tu wa pamba nyepesi....naomba mnipe maoni yenu kuhusu hizo pamba na je mnaona si hatari....hiyo ni classic formal...balaaaaaa!
2 comments:
jay z ka select rangi ambazo zinaendana sana na naona walipanga na beyonce kuvaa vitu vinavyoonekana kama vintage flani. wamependeza kweli!
Pamba hizo nimezikubali, hasa huyo mdada kapendeza kichizi
Post a Comment