Sunday, 18 March 2007

Rasta!
Style ya rasta kwa akina dada wengi wa kiafrika imekuwa kwenye game kwa muda mrefu sna na bado inapeta mpaka sasa na kusema kweli inawapendeza sana lakini nimesikia kwamba zipo aina nyingi sana za rasta na za aina tofauti tofauti kutegemeana na rangi ya mtu ndivyo unatakiwa ujilipue nalo sio hvi hvi,kama uonavyo pichana mrembo huyo hapo alivyojilipua ipasavyo na limeendana na rangi yake na pia style yake!big up .........

No comments: