Sunday, 18 March 2007


Mandela Style!
Ilikuja kama utani tu pale Mandela alipokuja na aina ya uvaaji na style yake ya kuvaa mashati yenye nakshi mbalimbali kwa kumalizia kwa kufunga kifungo cha mwisho.Kusema kweli ilikuja kama kitambulisho chake au alama yake ya uvaaji na kuteka ipasavyo kipindi hicho nadhani mpaka sasa kama vile style ya kimao ambayo asili yake ni china na kuweza kuwakilishwa fresh na Nyerere!

No comments: