Shaymaa...........!
Hyo ni mrembo shaymaa kutoka ughaibuni,nadahani combination ya colour hapo huwezi kubisha ametokea fresh sna na min sketi na kusema ukweli amevaa simple lakini ni balaa!naomba kwa wale wadau zangu wanaopenda niwarushe wanitumie picha zao kwa kutumia mail yangu sheria.ngowi@gmail.com wakiwa kwenye mitoko mbalimbali ya mavazi.
1 comment:
mtoto mzuri naomba details zake mzee wa mavazi?du so hyo mtoto nifanyie fanyie mpango
Post a Comment