Swala la uvaaji blazer na jeans limechipukia kwenye kizazi cha kisasa kwakuwa kipindi cha miaka iliyopita ilikuwa sio vazi rasmi sana ila kwasasa unaweza ukajilipua namna hiyo hata kwenye dhifa za maana bila shida....kama unavyoona blazer likichanganywa na jeans linavyotoka bunduki....sijui wadau zangu Tinashe...Gusto na Derrick mnasemaje mlipuko huo?
2 comments:
Duh mzee mzima wa sheria na mavazi hapo SHAGGY alifunika ile mbaya yaani ametoka so fine kama wazungu wanavyosema mzee ukipata kitu kama hicho hata kwenye dhifa za kitaifa utafunika ile mbaya hiyo tie ya silk usiipimie kabisa koti na hilo shati amefunika ile mbaya kabisa halafu huo mkanda na jeans hapo ndio amemaliza yaani kwa ujumla hapo shaggy alicheza ile mbaya mzee mzima wa sheria na mavazi hiyo blazer na jeans imemtoa nduki sanaaaa
nilijua tu lazima kaka ushtuke hapo?hehe hehe umeona combination hyo?balaa?
Post a Comment