Clarks!
Nadhani kutokana na hiyo picha ya hicho kiatu cha mbwa...na kama mtakumbuka vile viatu vya Bata mtakuwa mnaweza kufananisha na aina hiyo ya kiatu vinavyotengenezwa na kampuni maarufu kutoka UK ijulikanayo kama CLARKS na umaarufu wa kampuni hii ni kwamba wanatengeneza viatu vyote kwa kutumia ngozi na ni imara kwelikweli na bei ya kukichukua ni kama $60....mpo masela?safi sna kukivalia jeanz na suruali za khaki.....n.k
No comments:
Post a Comment