Pamba Kali....Tunawakilisha!
Napenda kumpa big up kwa sana mrembo Anna aliyoko mtoni kwa kupigilia pamba kali kinoma na zilizoenda shule.Nadhani mnaona pichani jinsi gani amelipuka na kusema ukweli pamba anazopiga zinamtoa kinoma kuanzia hilo gauni ni la material nyepesi kama silk au polyster na hapo zamani yalikuwa yanajulikanana warembo wa enzi hizo kama Juliana...,na pia amevaa hills simple za njano na tai kwa nyuma ambazo zimefanyiwa ubunifu mzuri sana......kusema ukweli kwa mlipuko huo hapo pichani juu nakupa shavu kinoma mdau wangu Anna kwakuwa unalipuka vizuri.....warembo mpo?
2 comments:
Mrembo kusema ukweli umependeza sana!
4real your hot queen...keep it up!
Post a Comment