Thursday, 26 April 2007

Mnaonaje hapo Udosini....!

Najua kwa mabinti wengi mtakuwa mmeshamezea sana mate flat kiatu hapo pichani juu.....hii style na aina hii ya kiatu asili yake ni kutoka udosini (india) nakusema ukweli viko simple sana na vimetengenezwa kwa ustadi wa hali ya juu sana na pia ni ngozi vingi vyao...kusema ukweli kwa mabinti wanaopenda kudungunyuka na uflat huu mkikamata mtaniambia usimple wake na ukivaa ni jinsi gani viko comfortable....Nadhani Chazya hapo sina wasiwasi nae kwakuwa namkubali sana kwa kumudu stock hizi na kulipuka na hi style na anatoka bunduki sana....Big Up sana....je ungekuwa wewe mrembo ungelipukaje na uflat huo wa kidosi?

2 comments:

Anonymous said...

speechless....the shoes looks really nice..ningekuwa mimi ningevaa na dark blue jeans na top nyeupe yenye vikorombwezo kidogo...that's all...thanks!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Shamim upo hapo mdungo huo umeuona najua lazima utakuwa umezimika nao