Thursday, 26 April 2007

Kumbuka Hivyo...Sio Lazima...!

Ni lazima tukumbuke ule uzoefu na mambo tuliyoshazoe kuyafanya bila kupindisha sasa yamepita na wakati badala yake ni kufuata wakati husika unasemaje...kwakuwa watu tumeshazoeaga kama kuvaaga suti ful na tai juu na chini moka ila kwasasa sio lazima tai,moka,wala suruali ya suti ila unaweza ukavaa T-shirt,Jeans au Pensi na Raba na hali haiwi tena kama zamani..kama uonavyo pichani juu mzee mzima kajidunga Pensi Simple,Flat shoes,T-shirt ,Blazer na Kofia ya Pama kumaliza kabisa ubishi na katoka nyoko bovu...basi kumbuka hivyo na sio lazima sana kufuata sheria nyingine za mavazi kama zamani ila unaweza ukalipuka kwa style nyingine na ukatoka safi kinoma,,,nadhani hapo wadau mmenisoma swafi.

No comments: