Thursday, 5 April 2007

Mambo Ya Nightout!

Nadhani usiku wa OSCAR ambazo ni moja za tuzo kubwa sana ulimwenguni katika sanaa ya sinema ....mvuto mmojawapo wa tunzo hizo ni pale mastar mbalimbali wanapolikanyaga zulia jekundu na ndio hapo kimbembe cha nani amengaa usiku huo kwa kulipuka pamba kali na zamaa na madoido mengine mengi....Pichani ni mchezaji sinema maarufu Jennifer Hudson ambaye alilipuka pamba za maana na kusema ukweli anajitahidi sana katika swala la mavzai pia tukiachia uchezaji sinema...warembo mnaonaje vazi hilo liko muruawaaaaaaaaaaaa kwa mtoko usiku?

1 comment:

Anonymous said...

Jennifer Hudson's dress looks nice and the colour looks nice 2 her, lakini usiku huo kwenye red carpet hakuweza kuvaa nguo nzuri ambayo ingekuwa ingemvutia kila mtu...na viatu havionekani!!!! :-(