Sunday, 29 April 2007

Mambo Ya Polyster!

Nguo za aina ya polyster kwa sasa zimerudi tena kwa kasi sana na kwa kusema kweli zimetulia sana hasa ukiwa unalipuka nazo nyakati za zozote na kwa kusema ukweli ubunifu na material zenyewe zinazotumika hakuna njia lazima ushine vibaya sana....Hapo ni mrembo sepetu akiwa kajinyakulia stock hiyo na kujichapa flash moja matata sana kama ukumbusho wake....mnasemaje jamani warembo gauni hilo la wema?

2 comments:

Anonymous said...

Not Bad!!..It's a nice one!

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nice posture and brillant look she looks beautiful ....