Sunday, 29 April 2007

Catalogue Sweater Hizo!


Kuna aina nyingi za sweater ila katika aina hizo pia kuna utofauti kutoka aina moja hadi nyingine na hiyo inatokana na aina ya material waliyotumia katika utengenezaji wake na hapo ndipo bei rasmi na gharama rasmi ya bei inapagwa...so usishangae kuona aina au style moja ya style unakutana nayo halafu unajiuliza mbona hii rahisi na ile gharama sana hapo nakuomba utazame material iliyotumika kutengeneza hiyo sweater na brand name yake pia na hapo utakuwa umetoa utata ulikuwa nao....hapo pichani juu unaona hiyo aina ya sweater ilivyopangiliwa michoro vizuri na kwa ubunifu wa hali ya juu?basi si mchezo nadhani umeikubali fresh hiyo style kwa jinsi ilivyotulia wadau zangu?

No comments: