Thursday, 26 April 2007

Shades...Dog Tag...Ndani Ya Babyface...!


Huyo ndio Babyface ambaye ni mmoja wa maproducer na mwimbaji mashuhuri...vilevile tusisahau kuwa pia analipuka sana pamba kali kinoma na ukilinganisha na umri wake basi ndio utajua fahion na style hazina mwisho hata ukiwa na umri mkubwa namna gani....embu tazama Shades,Dogtag na shati jeupe na suruali simple ya kodrai ya brown na najua kwa vyovyote vile atakuwa kamalizia na Travolta moja ya matata sana...mnaonaje mdungo.

3 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Yaani hapo mtoko huo nimeukubali sana hasa hapo juu hilo shati na suruali la kodrai la brown limemtoa fresh sana na hizo shades ndio kamaliza kabisa na pozi mwanana utafikiri mtu wa miaka 22 katoka bomba sana

Anonymous said...

mmmmh sina usemi kwa ili........yaani sipati picha dat shades mtu mwenye mwili wa kujidai(usio na kitambi) akitinga hiyo..kama wewe darling u ll be looking marvelous.

Anonymous said...

mmmh hapo umeua sheria........cant imagine wewe upo ndani ya shades.watu watatafutana hahahaha