Thursday, 26 April 2007

Haya Tufanye Ndio Wewe Umekamata Hiyo Stock...!

Tuchukulie tu mfano wadau zangu iwe ndio wewe hapo umekamata hiyo White Bodyfit Suti maanake hapo nimeweka hiyo mniambie je wewe mngepata hiyo stock hapo ambapo alitakiwa kuvaa shati yeye amekuwa kifua wazi wewe ungevaa shati la aina gani au kwa kivupi unmatch vpi kuanzia juu mpk chini?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu hapo mimi ndani ninngepiga shati fulani la njano halafu la silk halafu na tie ya silk pia halafu chini namalizia na usafiri wa rangi ya brown nafikiri hapo itakuwa imesimama ile kisawasawa sheria nimekusoma hapo mkuu