Wednesday, 4 April 2007

Shamim!
Mrembo Shamim ni mjasirimali mzuri tu pale bongo,na pia ni mmiliki wa duka la mavazi alimaarufu kama 8020FASHIONS pale mitaa ya sinza...jamani warembo jitahidini kuiga mfano huo mjikomboe mapema......

No comments: