Wednesday, 4 April 2007

Classic Zimerudi Tena....!

Yale mavazi ya karne zilizopita yamerudi tena kwenye chart kama kawaida na wabunifu wa kihindi wamejitahidi sana katika ubunifu huo...haya yote yalijiri siku ya Lakme' Indian Fashion Week 07 yalikuwa balaa kama uonavyo pichani juu!

1 comment:

Anonymous said...

Kitu kinachonichekesha kuhusu ''Fashion Shows'' ni kwamba, designer na watazamaji watazipenda zile nguo ila hata siku moja huwezi ukazivaa mitaani ukatembea nazo, naona utaonekana kituko!..at least hizo fashion show zionyeshe nguo ambazo mtu unaweza ukanunua na ukapendeza vilevile.