Tibaigana Inatesa Kwasana Bongo... Je Unatambua Hilo?
Kama uonavyo pichani jinsi mrembo huyo alivyolipuka pamba za maana na hii ni bongo navyokuamia inakubidi kama unataka kwenda ujipange kwa kifupi la sivyo unaweza taabika vibaya sana kutokana na style mbalimbali za mavazi zilivyochukua nafasi kwasasa bongo....Basi kama uonavyo huo mkanda unajulikana sana kwa mabinti na warembo kama Tibaigana.....basi nadhani umeona mrembo hapo pichani alivyotoka bunduki....mpo jamani?
No comments:
Post a Comment