Wednesday, 25 April 2007

Zebra Huyo!

Kumbukeni warembo na mabinti kwamba swala viatu vinavyotumia style chui chui haviko kwa style hiyo moja vya style ya zebra....kama hicho pichani hicho kiatu mnasemaje style yake warembo hapo?

2 comments:

Anonymous said...

Heheee!!...Hapo kaka Sheria umenikuna mpaka kwenye ubongo...zebra style is my style...not chuichui....I think unanikumbuka kaka sheria...Thanks

DERRICK MUSHOBOZI said...

Eheee mkuu mdungo huo umesimama vilivyo nimeukubali kisawasawa i hope zeze atakuwa ameuona huu mdungo shamim upo bibie klamata kitu hicho...