Saturday 19 May 2007

Fashion & Style Within The Family!

Hiyo ndio familia ya rev.run akiwa na mkewe na watoto wake kwenye bash mmoja huko mtoni...embu tazama watoto walivyolipuka pamba pamba kuanzia wakiume mpaka mademu na pia usisahau hata wazazi wamependeza pia na kuwa proud kw watoto wao kujiachia nao ful na mapozi kibao...hao mademu wake pia wamefungua kampuni ya mmbo a snickers kama walizovaa nitawapa stock hiyo soon kaeni mkao wa kula wadau zangu muone

1 comment:

Anonymous said...

I love Angela and Vanessa's trainers...Pastry..Oooh My God I want them!!Russell is the cutest....!!Hey sheria, youg got style man better than the other Tanzanian fashion blogg i've seen