Saturday 19 May 2007

T.I Ndani Ya GQ Magazine...!

Mwanamziki mahiri wa mziki wa rap dunia T.I amepata kimeo cha kupigwa maflsh kwenye gazeti maarufu duniani GQ na kutoka pina kinoma...embu tazama alivyovaa British Classic Suit na draftdraft....mtazame alivyomatch kuanzia hiyo kofia kichwani dark brown,pullneck ya purple,hiyo fulsuit dark brown na moka ya maana sana chini ya dark brown...mhh kusema ukweli ukitazama kwa umakini hiyo suti ni balaa na kwajinsi gani ilivyomkaa bodyfit na kuendana na mwili wake si mchezo kapendeza sana sana...mpo wadau zangu hapo...mambo ya British Suit hayo...sooo

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the background and the picture of the bicycle that has been used in that photo shot the color of the pull neck goes well with the suit that he's wearin