Friday, 4 May 2007

Mdungo Huo Balaaaaa!

Sina la kusema ila niwaachie wadau zangu mumcheki mzee mzima Lebron James alivyolipuka jumba la valvet black la maana ametoka unyoya kinoma...embu tazama shati alilovaa white,tai ya kukunja na light shades kali....mnamuonaje wadau zangu mdungo huo na bibie pembeni yake walivyomatch pichani?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nimependa jumba la mshikaji the way walivyo design kama vile lina strips fulani ila kwa mbali na pia tibaigana style aliyovaa that chick katoka swafiii