Saturday 19 May 2007

Simple Outfit!








Wadau zangu nimeona na nyie niwape mdungo w stock simple kinoma ya kujitundika ayo pale unapata stock za namna hiyo...nikianzia picha ya kwanza juu ni sunglasses za brown, brown bubble cord blazer,White sierra linen Pant,Polo Leather Classic Sandoz.....Nadhani hapo tu wakuu mtakuwa mmekubali stock nzima kwa ujumla....



1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hii ni stock ya ukweli hasa kwa weekend inafaa sana ukiwa mitaa fulani fulani unakandamiza haswa kwa kwenda mbele imetulia sana