Monday, 11 June 2007

Alicia Keys....New Luk!


Huyo ndio mwanamziki wa kike mahiri Alicia Keys anavyoonekana hivi sasa na huo ndio muonekano wake mpya kuanzia kwenye mavazi mpaka hairstyle mpya....embu wadau zangu mnisaidie hivi katika style za nywele ambazo mrembo huyu amewahi kuweka kuanzia kusuka mitindo mbalimbali na kuweka style hii ya sasa ni style ipi ilikuwa inamtoa nyoko?Na mnaoaje mlipuko aliojilipua pichani hapo?

No comments: