



Nadhani hakuna mtu ambaye atakataa ukweli kwamba hela ni kila ktu..nasema hivyo kwakuwa ukiwa na mshiko chochote utachotaka hapa dunia au hata ukikohoa 2 unapata...kama ujue kuvaa au usijue nakadhalika...haya embu wakurugenzi na warembo tazameni showoff hiyo kuanzia cash mpaka milpuko ya pamba nzito zito kuanzia Diddy,Jay Z,Usher na majumba yao..tazama vitamba vya suti,mashati waliyovaa,tai,na ukimaliza kamilisha na wive kichwani walizoweka na vito vya thamani walivyovaa ndio utajua cash ni nini....
1 comment:
Nakubali wamependeza.Lakini watu kama wao wajulikanao kuwa na pesa na kadi za nguvu, sioni sababu za kushika noti za pesa namna hiyo. Kwa jicho langu inaondoa ustaarabu fulani
Post a Comment