Michael Jordan au kwa wabongo wengi walipenda kumwita babu kwa skills zake alizokuwa nazo kwenye uchezaji wa kikapu......ila pia katika wachezaji kikapu wanajua kuvaa kuanzia kipindi cha babu na mpaka sasa kuendeleza libeneke basi Jordan ni noma kwenye uvaaji wa suit kali na matata sana kama unavyomuona pichani akiwa na mkewe ambaye wameshachapana talaka mchana kweupe......mnasemaji hilo jumba la babu....
1 comment:
Mzee mzima usimpimie kabisa ingawa umri kidogo umepaa lakini bado yuko fit hela bado anayo hiyo suti black aliyopiga yenye material fulani ya silk sijui itakuwa ni button ngapi lakini jamaa katoka bomba sana bad thing wamepigana chini na wife wake
Post a Comment