Wednesday, 6 June 2007

Kimeo!





Mwanamziki mahiri Rihanna amekula kimeo cha kutokea kwenye gazeti mashuhuri la Complex...jamani tuacheni matani rihanna now yuko kwenye chart sana kuanzia nyimbo zake mpaka style yake ya ulipukaji mavazi si mchezo...au mnanaje washika dau?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Mkuu nakubaliana na wewe yuko juu kwa sasa wacha akimbize kwani ndio wakati wake kabla wengine nao hawajashika bingo nao maana wakinaciara nao wanakuja moto