Friday, 1 June 2007

D.I.D.D.Y.........In Gold Suit!


Sina la kusema hapa pichani ila najua hakuna mtu ambaye hamkubali mzee mzima diddy kwa kulipuka pamba kali na kutokea kukubalika kwa kunyuka suti za maana....unaonaje hiyo suti ya gold cream aliyovaa hap pichani ilivyomkaa msuit fresh kama kazaliwa nayo?ksema ukweli hii suti balaa na pia tazama material ya kitambaa chake kiko kama kina viboksi boksi flani na hapo ndipo inazidisha uzuri wake....je wadau zangu ingekuwa ni wewe umepata hiyo stock ungevalia kiatu gani chini?

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Hapa sheria siwezi kubishana na wewe kabisa kuhusu huyu jamaa maana kwenye pamba ni soo yaani jamaa uwa anafunika vibaya sana hiyo suti ni ya aina yake