Thursday, 14 June 2007

Ful Black & Silver Matching!





















Nimeona niwape mixer ya ful black ikiwa imechanganywa na silver ni jinsi gani inavutia inapotingwa na mrembo pale anapopta nafasi...kuanzia juu nimekuwekea kuanzia Black sunglasses,Square Bangle Bracelet,Beaded Tier Necklace,Pointelle Tank,Black mini skirt na kukandamiza na Silver Sole Lorrie Shoe..kumbuka inapendeza zaidi ikivaliwa na mrembo mwenye uweupe flani au maji ya kundi kidogo ndio itareflect bomba zaidi....

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Nimekipenda sana hiki kiatu cha silver hasa ukipiga na black kwa binti lazima kimtoe safi sana natumaini dada yangu shamim atakuwa ameiona hii stock

Anonymous said...

I love everything of wot u put there sheria...it just looks fabolous!!!!!!!!!..It's Candy1