Wednesday, 20 June 2007

Green Crazy Colour!









Hapo ni kukandamiza green crazy colour tu wadau zangu kuanzia Polo T-shirt ,Tommy Hilfiger Belt,Lucky Brand Dusty Derby Jean na Lacoste Simple hizo...Derrick upo hapo kamanda wangu?

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Kumbe lacoste wako fit nao kwenye ku-design simple raba ukiingia mtaani halafu umemechisha na hiyo t shirt ya bluu juu lazima ufunike hasa utakuwa umetoka simple sana lakini bomba ile kichizi sheria kamanda wangu nimekusoma hapo

Anonymous said...

hapo mjomba ungemweka mamba wa green ingetoka zaid,. si unajua ukienda na mguu na tee inatoka sana. huyo mamba anatoka tee na mguu.

Holla-still anon