
Sina la kusema hapo wakurugenzi ni nyie kazi kwenu kuchagua ni ipi kati ya stock nazoweka nimekusukutua vilivyo na wewe ungependa kuwa nayo....kama ukitazama kuanzia juu nimekudunga kuanzia baby blue polo,Shimmer Belt,Affliction Cross Jean na kukandamiza chini na usimple wa converse.....
4 comments:
I do like the styles you put on this site, your are very creative. Keep it up and good job.
eebwana ndioo nimekubali mambo yako si mchezo
Hii all star mimi nimechoka nayo kabisa ni soo halafu belt na t shirt ni soo sheria kandamiza
I am loving the whole look but my man wants the all stars..he is fan!!Keep kip in it rolling Sheria!!
Post a Comment