




Ni mpangilio tu wa mavazi simple ambayo hata ukiwa umeyavaa unajisikia uko confortable sana...lakini kumbukeni style ya namna hii huwa inawapeneza warembo wenye miili ya kawaida yaani size ya katikati ndi inawapendeza zaidi...tukianzia na stock ya kwanza juu nimeona niwawekea Double Disc Earring,Painted Disc Necklace,Daytrip Babydoll Top,MEK San Diego Stretch Jean na umalizia na mdundo huo chini au mweusi tiiiiii....nadhani hapo mtakuwa mmekubaliana na mimi hukusu hii stock...
1 comment:
Nice outfit especially the top is so beautiful and the shoes too its a nice outfit for the ladies who knows fashion i love the colour of the whole dress
Post a Comment