
Mnalitambua hilo kwamba Air Jordan Classic Style kwasasa zimerudi kwa kasi sana kwenye style na watu wanazilipua kupita kiasi....?Embu mtazame mzee mzima Jigga akiwa anazipa shavu kwenye hiyo picha...na embu tazama mapigo makali aliyovalia raba hiyo kuanzia juu kakulipukia Hooded ya black,white t-shit ndani,jeans ya dark blue,watch ya maana na chini kamalizia na huo mtambo wa 23 Air Jordan...wakuu embu tafuteni hii stock ni balaa.....
1 comment:
Jigga!!!! what an outfit i really admire it badly especially the air jordan classic style they are bad news and the hoody too jamaa katoka bomba sana
Post a Comment