



Hayo ndio mambo ya kujipigilia pamba simple na kutoka fresh...embu tazama kuanzia picha ya juu nimeona niwakumbushie wadau zangu t-shirt za Ernesto Che' Guevara (Che') ambazo ziko juu toka kipindi hicho mpaka sasa....halafu na mkanda wa utambi wa Tommy Hilfiger,Lucky Brand Dusty Derby Jean na kumalizia na Converse yenye draft draft ya light blue...
2 comments:
My man would definitely love this...it's really nice!!Keep up the good work Sheria...S.O.
I just cant figure out the way those converse are designed i really like the design its outermost i love i dont know when nash see's this he will say what?
Post a Comment