Saturday, 9 June 2007

Kanye 30th Birthday Party!





Kanye West 30th Bday ilikuwa balaa hapo majuzi licha ya kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali unawajua kuanzia Jay-z, Diddy,Jay d,Rihhana,Mariah Carey,Pharell, Common,john legend na Fiance wake Alexis na Familia yake kwa ujumla iikuwa soooo..embu tazama style mbalimbali za nguo watu walizovaa kuanzia picha ya kwaza mpaka ya chini.....

1 comment:

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love the way Kanye West has put on his suit and his fiance Alexis they luk both pretty and the matching of the clothes is also nice not to forget the way Jermaine Dupri is dressed