



Warembo hapa sina la usema ila nikuwapa muda wenu ili muweze kutafakari mlipuko huo...mnaonaje mpangilio wake kuanzia juu mpaka chini...kwa mfano juu nimekuwekea Roxy Kiki Tote,Green, orange and bronze coloured charm necklace,Thermal Top,Lime pleated skirt na kumalizia na mguu huo matata sana!Nadhani warembo mmenisoma hapo!
2 comments:
ebwana eeee..mi hicho kiatu tuu..kimetuliaa sana...sheriaa watoa wapi mambo haya??ni nomaa...
aka.cha-WIND!!
Hilo gauni na hicho kiatu ni soo nafikir mrembo akitoka na out fit hiyo lazima afunike ile mbaya sheria
Post a Comment