





Hayo ndio mambo ya kuvaa suti ya suriali yanavyokuwa.....embu tazama kuanzia juu mpaka chini jinsi gani mlipuko ulivyotulia....tukianzia juu nimeanza na Black squashy clutch handbag,Shell Necklace,Petite black blazer,Scoop Neck Basic Tank,Black belted trousers na kumalizia na Steve Madden Luvvy Shoe.......
1 comment:
wow i like red, ina accentuate features zako alot, na hicho kiatu uhakikishe una gari na siku hiyo usitembee sana uwe unajidai kupose kwa kukaa tu kwenye kiti
Post a Comment