Monday, 11 June 2007

Mambo ya Blazer!
















Hayo ndio mambo ya kuvaa blazer ndani ya jeans...nimeona nikufanyie mixing kidogo kuanzia A.J. Morgan Silverlake Sunglasses,Navy cotton canvas blazer jacket,White linen shirt,black buckel belt,Guess Jean... na umoka huo chini wa silver na black velvet......

No comments: