





Hayo ndio mambo ya simple daytrip warembo yaani kwa kivupi mtoko mdogo mdogo wa haa na pale..ukipata issue kama hizo wewe jikandamize na mavazi kama haya kuanzia Tiffany Watch,Large Hoop Earring,Red Belt,Daytrip Textured Shirt,Freshwear Plaid Short na mguu huu unaokwenda kwa jina la Charles Albert Debra Shoe si lazima kiwe aina hii ila flat shoes kwa ujumla ndio inapendeza zaidi.......hilda upo hapo?
2 comments:
I love the shorts...really cool outfit
Ilove the shorts too but for the lady u must have good legs to wear such kind of shorts and ur legs shudn't be like sugarcane
Post a Comment