Saturday, 9 June 2007

Kelly Rowland Ndani Ya BBC Studioz!


Huyo ni mwanamziki mahiri wa miondoko ya R&b Kelly Rowland akiwa anaingia katika ofisi za Shirika la Habari La Uingereza (BBC) jana kwenda kufanya mahojiano kuhusu tour yake huko pamoja na mafanikio mbalimbali aliyoyapata baadaya kufyetua album yake mpya inayokwenda kwa jina la Miss Kelly...nadhani warembo mnamuona kwa kiasi gani mrembo huyu anavyojua kujilipua na pamba kali na kumtoa fresh....mnaonaje alivyovaa hapo pichani amewagwadua?

3 comments:

S & R said...

I know I said this yesterday but I love kelly...I love her simplicity...ingekuwa beyonce she would have been over the top with make up and big hair, which is so tiring!!This is for all my natural beauties...stay simple and shine with your inner beauty...!!visit www.youngtanzania.blogspot.com ...sheria I continue to love your site!!

Anonymous said...

I like Kelly...she's sexy and she's dressin simple..but the commentator up there..dont hv anythin against beyonce....she's sexy and still dresses well...both of them r just fabolous

DERRICK MUSHOBOZI said...

I love kelly rowlands natural beauty i think she doesnt put much of the make up like his fellows i lyk his new video with eve,she has dressed nyc and simple