Sunday, 3 June 2007

Mambo Ya Draft Style & Plain Colours!










Hayo ndio mambo ya draft na plain colours tofauti zinapokuwa zimechanganywa pamoja kama mnavyoona pichani kuanzia juu mpaka chini...tukianzia juu nimeona niwadunge kwanza Fossil White Watch,A.J. Morgan Margie Sunglasses, Blue marbled bead with flowers necklace,Long Strappy Tank,Freshwear Plaid Short na kumalizia na flat white shoe hiyo na hapo chini nadhani warembo kiu chenu nimekikata angalau kwa stock hiyo.....

2 comments:

DERRICK MUSHOBOZI said...

Ukiwa na mtoto amelipuka stock hii halafu unapita naye mitaa fulani lazima watu wakukubali ile mbaya maana atakuwa ametoka bomba sana especially awe na mwili fulani normal sio mnene sana na sio mwembamba sana wastani hivi halafu awe na mguu mzuri wa kuvalia hiyo kaptula lazima adatishe kwa sanaa

S & R said...

those shoes are more royal blue rather than the turquoise of the top and shorts!!I love me them shorts...S.O